Thursday, October 11, 2012
JAPOKUWA HAWANA MATUMAINI YA KUFAULU NA HATA AKIFAULU PIA HANA MATUMAINI YA KUENDELEA KUSOMA KUTOKANA NA JAMII KWA UJUMLA KUTOKUWA NA MUAMKO WA ELIMU NA UPUNGUFU WA WALIMU.PICHANI JUU WANAONEKANA WATOTO WA SHULE YA MSINGI NKOMA ILIYOKO KATA YA NKOMA MKOA WA SIMIYU WAKIFURAHI BAADA YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI TAREHE (20/09/2012).
MTOTO ANA HAKI YA KUCHEZA NA KUCHANGAMANA NA WENZIE
KUTOKANA NA WATOTO WA KATA YA NKOMA MKOA WA SIMIYU KUKOSA MICHEZO INAYOWAFANYA WAKAE PAMOJA(SOCIALIZE),MANAMBA INTERTAINMENT CHINI YA UNCLE CHRISTOPHER MANAMBA ILIANDA TOTO PARTY SIKU SIKU YA NANENE(08/08/2012)NDANI YA UKUMBI WA SADO KATIKA KIJIJI CHA NKOMA.KAMA PICHA INAVYOONEKANA HAPO JUU UNCLE CHRISTOPHER MANAMBA AKICHANGAMANA NA WATOTO KATIKA MICHEZO MBALIMBALI.
MAJI NI UHAI .
Subscribe to:
Posts (Atom)