MAJI NI UHAI .
KUTOKANA NA UHABA WA MAJI KATIKA KIJIJI CHA NKOMA MKOA WA SIMIYU INAWALAZIMU WANAKIJIJI KUCHIMBA VISIMA KAMA PICHA INAVYOONEKANA JUU, ILI KUJIPATIA MAJI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI KATIKA MTO LYUSA AMBAO UTULILISHA MAJI WAKATI WA MSIMU WA MASIKA TU.JAMII NZIMA HUTUMIA MAJI AYO JAPO HUSHEA NA WANYAMA MBALMBALI KAMA MBWA HASA NYAKATI ZA USIKU.
duh!!
ReplyDelete