Sunday, February 17, 2013

JE! TUNAVITUNZA VIPAJI VYA WATOTO?

kijana huyu kwa jina Ruhende Castory mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari  lyusa ailiyopo katika kijiji cha nkoma wilaya ya meatu mkoa wa Simiyu, Alikutwa na mpiga picha wetu akicheza na nyoka aina ya kifutu bila ya kuzulika.Baada ya maojiano na kijana huyu alisema kuwa nyoka huyu anasumu kali lakini yeye anajua jinsi ya kumzuia asimzuru.pia aliongezea kuwa yeye ana uwezo wa kumtibu mtu aliye ng'atwa na nyoka kwa kuvaa shati lake au nguo yake yeyote.