Sunday, November 4, 2012

JE! CHOO KINA UMUHIMU GANI KATIKA JAMII HII?

  KUSHOTO  PICHANI CHINI NDIPO CHOO KILIPO.

               

 

 PICHA CHINI INATUONESHA MANDHARI YA NYUMBA NA CHOO,



 PICHANI CHINI INATUONESHA SEHEMU CHOO KILIPO.

         JINSI GANI CHOO KILIVYOKUWA SI MUHIMU KATIKA JAMII HII YA MKOA WA SIMIYU WILAYA YA MEATU.HII INAONESHA KUWA NA CHOO NI KAMA KUJIHIFADHI TU,BALI SI KWA AFYA BORA.JE! TUTAWASAIDIA VIPI JAMII YA AINA HII?                                                                                                                                                                 KAMA PICHA INAVYOONEKANA JUU.ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA CHOO INAHITAJIKA KWA KIASI KIKUBWA KATIKA JAMII KAMA HII,LAKINI SIO ELIMU PEKEE INAWEZA KUWAKOMBOA WANAJAMII HAWA TU KUTOKANA NA MARADHI MBALIMBALI YANAYOWEZA KUATHIRI AFYA ZAO, BALI UTEKELEZAJI WA SERIKALI NA ASASI ZISIZO ZA SERIKALI JUU YA SERA YA AFYA BORA KWA JAMII.

1 comment:

  1. HAWA WATU WANAHITAJI KUELIMISHWA KUHUSU UMUHIMU WA VYOO NA NAMNA CHOO SALAMA KINAVOTAKIWA KUJENGWA. KWA NAMNA HIYO HAPO JUU NI LAZIMA MILIPUKO YA KIPINDU PINDU ITOKEE KILA MWAKA

    ReplyDelete