Friday, January 4, 2013

MTOTO WA KIJIJINI TUNAMJALI KWELI?

CHANGAMOTO ZINAZOIKUMBA SEKTA YA ELIMU TANZANIA NI PAMOJA NA UTORO NA KUACHA SHULE KWA WANAFUNZI.
AKIONGEA NA MWANDISHI WETU WA KUJITEGEMEA MKUU WA SHULE YA MSINGI NKOMA ILIYOPO WILAYA YA MEATU MKOA WA SIMIYU MWALIMU ODILIA CECILIA.ALISEMA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SHULE NI PAMOJA NA UTORO WA REJAREJA NA WATOTO KUACHA SHULE.HII INATOKANA NA KUHAMA KWA FAMILIA KUTOKA MKOA MMOJA KWENDA MKOA MWENGINE KWA KUTAFUTA UNAFUU WA MAISHA BILA YA HATA YA UHAMISHO WA WANAFUNZI.
HII YOTE INASABABISHWA NA UMASKINI ULIOKISILI MKOA SIMIYU HASA WILAYA YA MEATU.

No comments:

Post a Comment