Friday, April 26, 2013

MAUDHURIO HAFIFU MASHURENI.

WANAFUNZI WA LYUSA SEC(FORM FOUR 2013) WAKIWA WATANO TU DARASANI.

KUTOKANA NA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI TANANIA.KANDA YA ZIWA IMEKUA NI TATIZO KWA WANAFUNZI,HII IMEJITOKEZA ZAIDI KATIKA WILAYA YA MEATU MKOA WA SIMIYU KWANI MADARAJA MENGI YA WILAYA HIYO NI YA CHINI AMBAYO KIPINDI CHA MVUA AYAPITIKI HATA KWA GARI NA KUSABABISHA KUFUNGA MAWASILIANO BAINA YA KIJIJI KIMOJA NA KINGINE.TOFAUTI NA KUZOROTESHA MAENDELEO YA KIUCHUMIA,PIA MVUA IMESABABISHA MAUDHURIO HAFIFU MASHURENI NA KUSABABISHA KUDHOROTA KWA ELIMU.

No comments:

Post a Comment