Tuesday, March 26, 2013

ADHA YA MVUA.



KIPINDI HIKI CHA MASIKA MVUA INANYESHA SANA MIKOA YOTE TANZANIA, LAKINI MVUA IMEKUA TATIZO KWA WANAFUNZI WA MAZINGIRA FURANI,ZAIDI KATIKA MKOA WA SIMIYU WILAYA YA MEATU.KWANI MVUA IMEKUA TATIZO KWA WANAFUNZI KUTOFIKA MASHURENI KWA KUSHINDWA KUVUKA MITO AMBAYO NI MIKUBWA. MPIGA PICHA WETU ALIWAKUTA WANAFUNZI WA SHULE YA SEC LYUSA ILIYOPO KATA YA NKOMA WAKISUBILI MAJI YAPUNGUE BILA MAFANIKIO  ILI WAENDE SHULE.BAADA YA MWANDISHI WETU KUFUATILIA NA KUGUNDUA KUWA KATIKA WILAYA HIYO HAKUNA MADARAJA NA  MACHACHE YALIYOPO NI YA CHINI .KWAHIYO HATA USAFIRI WA MAGARI WAKATI WA MASIKA HUA NI MGUMU.

No comments:

Post a Comment