Tuesday, March 26, 2013
ADHA YA MVUA.
KIPINDI HIKI CHA MASIKA MVUA INANYESHA SANA MIKOA YOTE TANZANIA, LAKINI MVUA IMEKUA TATIZO KWA WANAFUNZI WA MAZINGIRA FURANI,ZAIDI KATIKA MKOA WA SIMIYU WILAYA YA MEATU.KWANI MVUA IMEKUA TATIZO KWA WANAFUNZI KUTOFIKA MASHURENI KWA KUSHINDWA KUVUKA MITO AMBAYO NI MIKUBWA. MPIGA PICHA WETU ALIWAKUTA WANAFUNZI WA SHULE YA SEC LYUSA ILIYOPO KATA YA NKOMA WAKISUBILI MAJI YAPUNGUE BILA MAFANIKIO ILI WAENDE SHULE.BAADA YA MWANDISHI WETU KUFUATILIA NA KUGUNDUA KUWA KATIKA WILAYA HIYO HAKUNA MADARAJA NA MACHACHE YALIYOPO NI YA CHINI .KWAHIYO HATA USAFIRI WA MAGARI WAKATI WA MASIKA HUA NI MGUMU.
Monday, March 25, 2013
MTOTO WA AFRIKA.
Tuesday, March 19, 2013
MKUTANO WA WADAU WA ELIMU WILAYA YA MEATU.
MKUU WA WILAYA YA MEATU MAMA ROSEMARY KIRIGINI. |
BAADA YA WILAYA YA MEATU MKOA WA SIMIYU KUFANYA VIBAYA KATIKA MATOKEO YA MTIHANA WA DARASA LA SABA NA NA KIDATO CHA NNE,TAREHE 30/01/2013 WILAYA ILIAMUA KUFANYA KONGAMANO LA KIELIMU KUJADILI CHANGAMOTO ZILIZOPELEKEA WATOTO KUFANYA VIBAYA KATIKA MITIHANI YAO.
LIKIONGOZWA NA MHESHIMIWA PROF EMMANUEL K. BAVU AMBAYE ALIKUA MWENYEKITI WA KONGAMANO HILO PAMOJA NA KATIBU TAWALA MKOA MWAMVUA JILUMBI,AFISA ELIMU MKOA ALOYCE KAMAMBA ,MKUU WA WILAYA ROSEMARY KIRIGINI , MKURUGENZI MTENDAJI(W) ISAYA MOSES NA WADAU WENGINE WA SEKTA MBALIMBALI. WADAU WA KONGAMANO HILO WALISEMA KUWA CHANGAMOTO ZINAZOPELEKEA KUSHUKA KWA ELIMU NI PAMOJA NA MWAMKO DUNI WA ELIMU KWA BAADHI YA WAZAZI NA WALIMU KUTOTIMIZIWA MAHITAJI YAO INAYO PELEKEA KUTOKUFANYA KAZI KWA MOYO.MWISHO KABISA WALIAZIMIA KUFANYA MAREKEBISHO ILI KUONGEZA UFAULU WILAYA YA MEATU.
Thursday, March 14, 2013
UTORO NA MIMBA KWA WANAFUNZI WAKITHIRI SIMIYU.
Mkuu wa shule ya sekondari lyusa bwana deogratius magesa akitoa ripoti ya shule kuhusu utoro na mimba kwa wanafunzi mbele ya timu kutoka halmashauri.Alisema kuwa changamoto wanazo zipata shuleni hapo ni utoro na mimba kwa watoto zinazo pelekea shule kufanya vibaya.
Sunday, March 3, 2013
WATOTO NA NG'OMBE.
Subscribe to:
Posts (Atom)