JAMII NYINGI ZA KIFUGAJI ZIMEKUWA ZIKIJARI MIFUGO KULIKO MAENDELEO YA MTOTO.HII IMEJITOKEZA ZAIDI MKOA WA SIMIYU, HADI KUPELEKEA WATOTO KUCHELEWA KUANZA SHULE SABABU YA KUCHUNGA NG'OMBE.KUTOKANA NA MIFUGO KUWA MALI,HATA MTOTO AKIANZA SHULE HUSHINDWA KUHUDHURIA SHULE KILA SIKU SABABU YA KUCHUNGA.BILA YA KUJUA KWAMBA KUTOZINGATIA SHULE NI SAWA NA KUMTENGENEZEA UMASKINI MTOTO.
No comments:
Post a Comment