HII INAONESHA JINSI GANI MTOTO HUYU WA AFRIKA ANAPOZIDI KUPOTEZA MATUMAINI YA MAISHA BORA. HII UJITOKEZA KATIKA NCHI NYINGI ZA AFRIKA KUTOKUA NA MFUMO AU KUTOKUJALI MAENDELEO YA WATOTO, BALI HUSUBILI MPAKA WATOTO WAPOTEZE MWELEKEO WA MAISHA.
HALI HII INASIKITISHA SANA KATIKA MATAIFA YA KIAFRIKA KWANI MTOTO AMEFANYWA KAMA MRADI , LAKINI NI PALE TU ANAPOPOTEZA MUELEKEO WA MAISHA NA KUANZA KUFIKILIA KUMSAIDIA KWA KUANZISHA TAASISI NA NGO's ZA WATOTO,NYINGI ZIKIWA KWA MANUFAA BINAFSI.
KWA HALI HII HATUMJENGI WALA HATUMSAIDII MTOTO WA AFRIKA.
|
No comments:
Post a Comment